1 Corinthians 15:24-25

24 aNdipo mwisho utafika, wakati atakapomkabidhi Mungu Baba ufalme, akiisha angamiza kila utawala na kila mamlaka na nguvu. 25 bKwa maana lazima Al-Masihi atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Copyright information for SwhKC